Mayele apewe tuzo ya mshangiliaji bora

Mayele apewe tuzo ya mshangiliaji bora

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Mayele ni moja ya washambuliaji hodari sana kwenye kushangilia duniani, hakika style yake ilibamba sana.

Nawaomba shirikisho la mpira wa miguu Tz wampatie japo tuzo ya ushangiliaji bora, maana hii ndio tuzo alikuwa anashahili.

757D1A0D-1177-44A8-8520-385B8C33EB9B.jpeg
 
Hakuna jipya hapo maana kwao mpk mtoto wa miaka 2 anajua kunengua itakua kutikisa kifua?
 
Nimeamini kuna watu mna maumivu si kidogo. Poleni.
 
Mayele ni moja ya washambuliaji hodari sana kwenye kushangilia duniani, hakika style yake ilibamba sana.

Nawaomba shirikisho la mpira wa miguu Tz wampatie japo tuzo ya ushangiliaji bora, maana hii ndio tuzo alikuwa anashahili.

View attachment 2277344
kwani alikuwa anashangilia au alikuwa anatetemesha maziwa/manyonyo.
 
Halafu timu ya simba nayo ipewe tuzo ya ya wachezaji wake kukosa penati nyingi za mchongo walizo zawadiwa na waamuzi msimu huu.
 
Back
Top Bottom