Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Japo aliiga kwenye season ya sangerMayele ni moja ya washambuliaji hodari sana kwenye kushangilia duniani, hakika style yake ilibamba sana.
Nawaomba shirikisho la mpira wa miguu Tz wampatie japo tuzo ya ushangiliaji bora, maana hii ndio tuzo alikuwa anashahili.
View attachment 2277344
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwani alikuwa anashangilia au alikuwa anatetemesha maziwa/manyonyo.Mayele ni moja ya washambuliaji hodari sana kwenye kushangilia duniani, hakika style yake ilibamba sana.
Nawaomba shirikisho la mpira wa miguu Tz wampatie japo tuzo ya ushangiliaji bora, maana hii ndio tuzo alikuwa anashahili.
View attachment 2277344
utopolo wanateseka, Labda tu Mungu aingilie Kati.Nimeamini kuna watu mna maumivu si kidogo. Poleni.