CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Ukiakaa ukiwasikiliza Utopwinyo wakielezea jinsi Juma shaban alivyo beki bora kutokea ligi ya congo au ukamsikia MSUKULE lopolopo linavyomuelezea kama una akili za kiutopwingo utawaamini.
Anyway ogopa sana matapeli hiki hapa kikosi bora cha ligi ya congo msimu uliopita na wachezaji bora maana utopwinyo walidai Mayele ndiye mfungaji bora kule Congo , hivi mbona haya majitu maongo sana? kha.
Nawakumbusha tu huyo kipa bora ndiye aliyekula goli 4 hapa dsm na goli moja kule kinshasa, watu wakaja na kisingizio oooh mmmeifunga as vita iliyochoka siyo ile ya kina makusu mara ghafla wakakimbili kwenye hiyohiyo team waliyosema imechoka kwenda kuokota magarasa.