CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Anzishia uzi wake ilikuwaje akapokonywa u fungaji bora wa congo? sioni jina lake hapo...kumbe lile beki la viwango vya barcelona djuma shaban ni garasa kule congo?Mayele kawafanya nini makolo?
Kwahiyo mkuu na Al ahly nao wamesajili garasa?
Maana mikson hayupo kipengele chochote cha tuzo
Mtanena lugha zote mwaka huu juzi sukule limelalamika CAF imejaa simba siyo cAf tu hadi fifa kwa infantino mkitakla kashtakini kwa lucifer huko kuzimuKikosi kaandaa Babra na Mudi
Alokwambia mayele mfungaji bora ni nani?Anzishia uzi wake hi(hoja) chako,ufungaji bora wa mayele umekuwaje au kaibiwa magoli yake? sioni jina hapo
Alaa mshageuka siyo?Alokwambia mayele mfungaji bora ni nani?
Mshageuka wakina nani?Alaa mshageuka siyo?
Alaaa kuumbee na beki la barcelona Djuma shaban imekuwaje? naskia simba wamehonga illi Inonga apewe tuzo ya beki bora ionekane wamesajili kitasaMshageuka wakina nani?
Mayele hajawahi kuwa mfungaji bora na hata wakati anasajiliwa ilisema hivo kuwa alimfwatia mfungaji bora kwa magoli yake 12
mkuu unayumba, naona hakuna mwanasimba anakusapot kwa hili, mm simba ila sikusapot poaAlaaa kuumbee na beki la barcelona Djuma shaban imekuwaje? naskia simba wamehonga illi Inonga apewe tuzo ya beki bora ionekane wamesajili kitasa
Mimi namsapot.mkuu unayumba, naona hakuna mwanasimba anakusapot kwa hili, mm simba ila sikusapot poa
Kolo umeshaandika na ukiandika umeandika,hufuti[emoji16][emoji16][emoji16]Ukiakaa ukiwasikiliza Utopwinyo wakielezea jinsi Juma shaban alivyo beki bora kutokea ligi ya congo au ukamsikia MSUKULE lopolopo linavyomuelezea kama una akili za kiutopwingo utawaamini.
Anyway ogopa sana matapeli hiki hapa kikosi bora cha ligi ya congo msimu uliopita na wachezaji bora maana utopwinyo walidai Mayele ndiye mfungaji bora kule Congo , hivi mbona haya majitu maongo sana? kha.
Nawakumbusha tu huyo kipa bora ndiye aliyekula goli 4 hapa dsm na goli moja kule kinshasa, watu wakaja na kisingizio oooh mmmeifunga as vita iliyochoka siyo ile ya kina makusu mara ghafla wakakimbili kwenye hiyohiyo team waliyosema imechoka kwenda kuokota magarasa.
View attachment 1978562
View attachment 1978561
Wale ni wastaafu wa as vita mdau wamesajiliwa msimu kuwapa ubingwa tu baada ya hapo wanarudi kwenye zama zao kila msimu kusajili kumi kufukuza kumiUkiakaa ukiwasikiliza Utopwinyo wakielezea jinsi Juma shaban alivyo beki bora kutokea ligi ya congo au ukamsikia MSUKULE lopolopo linavyomuelezea kama una akili za kiutopwingo utawaamini.