Mayele huwa anajifunza sana kufunga na bahati anayo pia.
Senegal walipata goli dakika 45+1 ikawa 1-0.
Mayele aliingia dakika ya 84 na dakika ya 85 akafunga goli na mchezo ukaisha 1-1.
Kama kawaida yake, maamuzi ya haraka, kapata pasi kachungulia golini kashuti.
Huyu jamaa akirudi bongo hebu tumpokee atafanya vizuri iwe shirikisho au klabu bingwa, uwezo anao.