Tetesi: Mayele kutua Simba muda wowote, asante Boss

Mributz

Senior Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
177
Reaction score
527
TETESI, muda wowote kuanzia sasa mshambuliaji FISTON MAYELE anaweza kutambulishwa ndani ya klabu ya Simba SC,

✍️Hii ni baada ya Kocha mkuu wa timu hiyo Fadlu Davids, kuomba aongezewe mshambuliaji mwingine mpya ndani ya kikosi hicho tofauti na wale waliopo ndani ya klabu hiyo kwa sasa.
Paulo News
 
Mafiiiii matupu.
 
Simba na yanga the same CCM and CHADEMA😆 ,msigwa Vs chama
 
Mayele anaenda kwa Nabi Kaizer Chiefs
 
Mkuu mbona umedumaa sana kifikra? Sometimes kukaa kimya ni bora kuliko kuandika jambo kama hili
Sasa unaongea nini? CHADEMA ni chama au deal la Mbowe na genge lake kupiga hela za ruzuki? Nani asiyejua?
 
Kwa taarifa zilizopo takribani siku nne zilizopita Mayele alikuwa anakamilisha kujiunga na Kaizer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…