Mayele ndo mchezaji pekee kufunga hat trick mbili club bingwa. Case close
Mayele ndo mchezaji pekee kufunga hat trick mbili club bingwa. Case closed
DrediSababu ya umaarufu wa Mayele ni ipi?
Umesahau kumalizia kuwa hizo hat trick hazikuipeleka timu yake popote.Mayele ndo mchezaji pekee kufunga hat trick mbili club bingwa. Case closed
Hongera sana kwa ufafanuzi mkuu. Rekodi nyingine amewapasua makolo bao tatu zote kwenye ngao ya hisanikwenye orodha ya magoli ya mayele club bingwa yapo mawili tu moja alifunga akiwa vita alifunga dhidi ya El mereck , lingine kafunga Al hilal akiwa yanga Hilo la atrick mbili ni mechi ya bonanza hayakuhesabiwa case understood.
ngao za hisani ni mabonanza tu ndio maana inonga alinyanyua daruga dhidi ya sure boy hakuna hatua yoyote alichukuliwa, na bangala alinyoosha dole la kati hakuna aliyejali , hakuna kamati inakaa kujadili matokeo ya ngao ya hisani ni mchezo wa kumwagilia moyo .Hongera sana kwa ufafanuzi mkuu. Rekodi nyingine amewapasua makolo bao tatu zote kwenye ngao ya hisani