Mayele Vs Phiri

Mayele Vs Phiri

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Kuna ubishi siku hizi ambao unaendelea kwa watu wakilinganisha Mayele na Phiri. Kuna watu wanasema Phiri siyo stricker kama Mayele, bali ni kiungo mshambuliaji.

Kwahiyo goli zake nyingi anafunga kwa kujitafutia mpira au kwa mwenyewe, kitu ambacho siyo kweli.

Kama wewe ni mfatiliaji mzuri wa mechi za Simba utakubaliana na mimi jambo hili. Goli nyingi za Phiri ni mipira ya kutengewa na Chama au wachezaji wengine, ila anyway lengo langu siyo hilo.

Nataka tu ukweli kuhusu uchezaji wa Phiri na Mayele. Phiri ni faux number 9 ambaye anacheza kama namba 10 au 7 au 11 lakini namba yake halisi kabisa ni 9, mfano ni kwa Mbape na Ronaldo.

Mbape kipindi cha Cavani alikuwa anacheza kama namba 7 huku akitokea pembeni, lakini goli zake nyingi alikuwa anafunga akiwa kama namba 9 kwa kutoa pass kwa wenzake halafu anakimbilia kwenye box haraka sana kusubiri mpira. Na ndivyo Phiri naye anavyocheza. Kwahiyo ni vigumu kutambua kama ni namba 9 lakini hatulii kwenye namba yake.

Mayele naye siyo stardup scricker kama watu wanavyo dhani, Mayele akiwa ndani yq uwanja mara nyingi anacheza kama namba 10 siyo mtu wa kutulia sana kwenye eneo lake.

Ni mtu ambaye anaanzisha mashambulizi, akipata mpira anatoa pass halafu anakimbilia kwenye box, ndivyo naye anacheza. Mfano ni mechi ya Simba ile ngao ya jamii na zingine nyingi tu amekuwa akifanya hivo.
 
Kuna ubishi siku hizi ambao unaendelea kwa watu wakilinganisha Mayele na Phiri.

Kuna watu wana sema phiri sio stricker kama mayele bali ni kiongo mshambuliaji.
Sijakuelewa Unasema Phiri kafanyaje🤔🤔🤔
 
Faux 9 ndio nini? Na hiyo stardup scricker ndio nini?

Kwahiyo phiri ni faux namba 9 na mayele ni stardup scricker.

Tuachane na hivyo viwili huwenda ni makosa ya uandishi tu.
Soma tena uchambuzi wako.
Hii ndio aina ya wachambuzi tulionao kwenye soka letu, wanachoongea mwanzo mpaka mwisho wengi wao hawaeleweki eleweki.
Points zao hazina uzito, ni kama wabahatishaji.

Ukisikiliza kwenye radio au kuwatizama unabaki unatabasamu tu, hawa ni football pundits kweli au wachumia tumbo tu!!
 
Kuna ubishi siku hizi ambao unaendelea kwa watu wakilinganisha Mayele na Phiri.

Kuna watu wana sema Phiri sio stricker kama Mayele bali ni kiungo mshambuliaji.

Kwa hiyo goli zake nyingi ana funga kwa kujitafutia mpira au kwa mwenyewe kitu ambacho sio kweli.

Kama wewe ni mfatiliaji mzuri wa mechi za Simba utakubaliana na mimi jambo hili. Goli nyingi za Phiri ni mipira ya kutengewa na Chama au wachezaji wengine, Ila any way lengo langu sio ilo.

Nataka tu ukweli kuhusu uchezaji wa Phiri na Mayele. Phiri ni faux number 9 ambaye anacheza kama namba 10 au 7 au 11 lakini namba yake halisi kabisa ni 9, Mfano ni kwa Mbape na Ronaldo.

Mbape kipindi cha cavani alikuwa ana cheza kama namba 7 uku akitokea pembeni, Lakini goli zake nyingi alikuwa ana funga akiwa kama namba 9 kwa kutowa pass kwa wenzake alafu ana kimbilia kwenye box haraka saana kusubiri mpira. Na ndivyo Phiri naye anavyo cheza kwa hiyo ni vigumu kutambua kama ni namba 9 lakini hatulii kwenye namba yake.

Mayele naye sio stardup scricker kama watu wanavyo dhani, Mayele akiwa ndani yq uwanja mara nyingi anacheza kama namba 10 sio mtu wa kutulia saana kwenye eneo lake ni mtu ambaye ana anzisha mashambulizi akipata mpira anatowa pass alafu ana kimbilia kwenye box ndivyo naye anacheza. Mfano ni mechi ya Simba ile ngao ya jamii na zingine nyingi tu amekuwa akifanya hivo
Mayelle yuko special hata mimi nisiyejua mpira wala wachezaji ninamjua Mayelle
 
Wote hao ni wageni..baadae timu yenu ya taifa ikipakatwa mnaanza kusema hamna wachezaji....amkeni wenzenu kwenye timu kubwa wanajitahidi kuweka wazawa ili wapate uzoefu
 
Mnamvalisha Phiri viatu vikubwa mno. Hebu muacheni ajipambanue kwenye eneo lake lakini pia ni kumkosea heshima Mayele kumlinganisha na Phiri.

Wote ni wazuri kwenye timu zao ila Mayele is far better than any striker in bongo. Pengine Phiri tumuweke na watu kama kina Lusajo Reliant, Mpole n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hili ndilo linalothubitisha kauli ya manara kuwa pale yanga wenye akili timamu ni wawili tu.
 
Moses unamfananisha na fifimoto mtingisha manyonyo?!!!!!!khaaaaa utakuwa na shida kichwani
 
Mayele ameachieve nini kwani mpk mnampigia makelele hivi, si ni huyu msimu uliopita kapitwa na kijana G. Mpole ambaye alikuwa anacheza kwenye timu isiyo na wachezaji bora kama alipokuwa Mayele!!

Kwa maana nyingine Mpole angekuwa hapo jangwani angefunga mengi zaidi, msimu huu mpk sasa hivi wamefungana magoli sasa kelele za huo ubora zinatokea kwenye nn kuwafunga Zalan?
 
Back
Top Bottom