kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Kuna ubishi siku hizi ambao unaendelea kwa watu wakilinganisha Mayele na Phiri. Kuna watu wanasema Phiri siyo stricker kama Mayele, bali ni kiungo mshambuliaji.
Kwahiyo goli zake nyingi anafunga kwa kujitafutia mpira au kwa mwenyewe, kitu ambacho siyo kweli.
Kama wewe ni mfatiliaji mzuri wa mechi za Simba utakubaliana na mimi jambo hili. Goli nyingi za Phiri ni mipira ya kutengewa na Chama au wachezaji wengine, ila anyway lengo langu siyo hilo.
Nataka tu ukweli kuhusu uchezaji wa Phiri na Mayele. Phiri ni faux number 9 ambaye anacheza kama namba 10 au 7 au 11 lakini namba yake halisi kabisa ni 9, mfano ni kwa Mbape na Ronaldo.
Mbape kipindi cha Cavani alikuwa anacheza kama namba 7 huku akitokea pembeni, lakini goli zake nyingi alikuwa anafunga akiwa kama namba 9 kwa kutoa pass kwa wenzake halafu anakimbilia kwenye box haraka sana kusubiri mpira. Na ndivyo Phiri naye anavyocheza. Kwahiyo ni vigumu kutambua kama ni namba 9 lakini hatulii kwenye namba yake.
Mayele naye siyo stardup scricker kama watu wanavyo dhani, Mayele akiwa ndani yq uwanja mara nyingi anacheza kama namba 10 siyo mtu wa kutulia sana kwenye eneo lake.
Ni mtu ambaye anaanzisha mashambulizi, akipata mpira anatoa pass halafu anakimbilia kwenye box, ndivyo naye anacheza. Mfano ni mechi ya Simba ile ngao ya jamii na zingine nyingi tu amekuwa akifanya hivo.