Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,829 Reaction score 1,303 Mar 29, 2010 #1 Wadau; huyu Ray Nagin ni mayor wa New Orleans; na ndiye alikuwa meya wakati mji huu ulipokumbwa na Kimbunga cha Katrina! Nilimuhusudu sana Myaor Nagin kwa ukweli aliowapasha watu wa serikli kuu kwa kuwacheleweshea misaada wahanga wa Katrina. he is one of my idols. http://www.citymayors.com/mayors/new_orleans_mayor.html
Wadau; huyu Ray Nagin ni mayor wa New Orleans; na ndiye alikuwa meya wakati mji huu ulipokumbwa na Kimbunga cha Katrina! Nilimuhusudu sana Myaor Nagin kwa ukweli aliowapasha watu wa serikli kuu kwa kuwacheleweshea misaada wahanga wa Katrina. he is one of my idols. http://www.citymayors.com/mayors/new_orleans_mayor.html