MIGUGO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,137
- 3,931
1.Barabara hazifanyiwi usafi.Wanawatumia wafagiaji wa mafagio ya mkono badala ya mashine.
2.Ile barabara ya ufukwe ilitakiwa ipandwe mfano palm trees
3.Ufukwe wa posta ya zamani ile ni pesa.Wangebuni mfano kile kituo cha mwendokasi kiwe pale kwenye garden na ile garden itazamane na bahari ikiwezekana waiextend mpaka kwenye maji hata mita 50.Majengo kama Wizara ya sheria na lile la NIDA watafute wawekezaji waweke hotel au malls.