Mayor wa Kampala alaumu Diamond kulipwa zaidi ya milioni 100 peke yake

Unajua dola milion 100 mkuu..??? Acha uchochez
 
Mwambie huyo mayor apambane na hali yake mbona huku bongo akija jay z analipwa tofauti na wasanii wetu nasisi tunavumilia? Enzi za chameleon wa mama mia alikuwa analipwa pesa ndefu kuliko juma nature na tulivumilia?
 
Anafikili mondi mchunga tembo habari anayo wakimataifa halipwi lakitano kama jirani yetu.
 
Kama ana balls amwambie Museveni ajiuzuru, aachane na mambo yasiyo na tija.
 
Hiyo milioni 100 mbona ndogo sana?
Hapo Dai kawaonea huruma sana ,hiyo 100M alikuwa analipwa 2013/2014 siku hizi dau lake limepanda sana hasa akifanya show nje ya nchi.
 
Ila sijaelewa mantiki ya hili bandiko lako.
Maana yangu kuna mtu anakwambia hiyo ni ela ya uganda usishtuke eti mils 66 per night za mtu analipwa just per night mtu anakwambia ni ela ndogo akiwa nyuma ya keyboard.
Ndiyo maana nikasema uzuru wa jf kila mtu tajiri tukiwa nyuma ya keyboard sote tuko vizuri labda jukwaa la kutafuta ajira ndilo hutuumbua.
 
Kiaima fulani ana point nzuri kwa sababu ya msaada waliotaka kutoa.

Labda Diamond atamega kidogo kusema anarudisha iwasaidie katika malengo yao kama hawana lingine walilokusudia kupata pesa zaidi ya walizompa kwingine kwa kumpa kazi hiyo.
 
Dai ni gharama

Mayor anataka wamchukue kiba wamtafutie demu lenye asili ya Rwanda baasi anapiga shoo.
 
Dahh...

Sijapata ukokotozi bado.!??

How much Tshs....!??
Us$!??
 
Uzuri wa jf kila mtu tajiri lakini bahati mbaya jukwaa la kazi ndilo hutuumbua
Analysis yako nzuri mkuu..sio JF tu hata uraiani mkikutana na mtu ukakwaruzana nae utasikia "wewe sio level yangu" alafu baadae ukimkuta sehemu nyingine analalamika hali ngumu
 
Sasa mayor si angeenda kutumbuiza yeye ili pesa iingie wanapotaka?
 
Hiyo milioni 100 mbona ndogo sana?
Hapo Dai kawaonea huruma sana ,hiyo 100M alikuwa analipwa 2013/2014 siku hizi dau lake limepanda sana hasa akifanya show nje ya nchi.
Kalipwa US dollar 60,000 ila ukijumlisha na matumiz ya hotel na vitunka izo zimefika 70,000 US dollar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…