Ni baada ya Trump kuleta ubabe kuwa: A President of the United States of America has TOTAL AUTHORITY! Magavana na yeye walipishana namna ya kufungua shughuliza kiuchumi USA akitaka kutoa Amri kwa majimbo.
Ameshambuliwa sana kuwa hana mamlaka hayo. Majimbo yatapanga utaratibu namna ya ku- reopen the economy! Wamemkumbusha kuwa yeye siyo KING, ni rais amechaguliwa!
My reflections: Ikanipeleka hapa kwetu ambapo mtu anavunja katiba/sheria anavyojisikia bila woga! Anatawala Bunge na Mahakama kama department za executive! johnthebaptist
Wamemkatalia katu katu kuwa hana mamlaka hayo, hata sasa CNN wanataarifa hizo wanairudia kusisitiza kuwa hana mamlaka hayo!Nimeona anafoka huko tweeter kua yeye pekee ndo ana mamlaka hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni baada ya Trump kuleta ubabe kuwa: A President of the United States of America has TOTAL AUTHORITY! Magavana na yeye walipishana namna ya kufungua shughuliza kiuchumi USA akitaka kutoa Amri kwa majimbo.
Ameshambuliwa sana kuwa hana mamlaka hayo. Majimbo yatapanga utaratibu namna ya ku- reopen the economy! Wamemkumbusha kuwa yeye siyo KING, ni rais amechaguliwa!
My reflections: Ikanipeleka hapa kwetu ambapo mtu anavunja katiba/sheria anavyojisikia bila woga! Anatawala Bunge na Mahakama kama department za executive! johnthebaptist
Naunga mkono hoja ya trump watu watoke nje kabisaNi baada ya Trump kuleta ubabe kuwa: A President of the United States of America has TOTAL AUTHORITY! Magavana na yeye walipishana namna ya kufungua shughuliza kiuchumi USA akitaka kutoa Amri kwa majimbo.
Ameshambuliwa sana kuwa hana mamlaka hayo. Majimbo yatapanga utaratibu namna ya ku- reopen the economy! Wamemkumbusha kuwa yeye siyo KING, ni rais amechaguliwa!
My reflections: Ikanipeleka hapa kwetu ambapo mtu anavunja katiba/sheria anavyojisikia bila woga! Anatawala Bunge na Mahakama kama department za executive! johnthebaptist
Bwashee kwani Bunge na Mahakama haviko chini ya Rais?Ni baada ya Trump kuleta ubabe kuwa: A President of the United States of America has TOTAL AUTHORITY! Magavana na yeye walipishana namna ya kufungua shughuliza kiuchumi USA akitaka kutoa Amri kwa majimbo.
Ameshambuliwa sana kuwa hana mamlaka hayo. Majimbo yatapanga utaratibu namna ya ku- reopen the economy! Wamemkumbusha kuwa yeye siyo KING, ni rais amechaguliwa!
My reflections: Ikanipeleka hapa kwetu ambapo mtu anavunja katiba/sheria anavyojisikia bila woga! Anatawala Bunge na Mahakama kama department za executive! johnthebaptist
By principle of separation of power havipashwi! Nenda angalia CNN walivyomshambulia Trump eti ana "Total" authority over majimbo. Kidogo wampige mayai visaBwashee kwani Bunge na Mahakama haviko chini ya Rais?
Unajua namna sheria zetu zinavyoundwa na nani anazibariki ili zitumike?
Huyu wa hapa angekuwa kule wangeshamnyofoa mapema sanaNi baada ya Trump kuleta ubabe kuwa: A President of the United States of America has TOTAL AUTHORITY! Magavana na yeye walipishana namna ya kufungua shughuliza kiuchumi USA akitaka kutoa Amri kwa majimbo.
Ameshambuliwa sana kuwa hana mamlaka hayo. Majimbo yatapanga utaratibu namna ya ku- reopen the economy! Wamemkumbusha kuwa yeye siyo KING, ni rais amechaguliwa!
My reflections: Ikanipeleka hapa kwetu ambapo mtu anavunja katiba/sheria anavyojisikia bila woga! Anatawala Bunge na Mahakama kama department za executive! johnthebaptist
Nani huyo Mzee Shein?Ni baada ya Trump kuleta ubabe kuwa: A President of the United States of America has TOTAL AUTHORITY! Magavana na yeye walipishana namna ya kufungua shughuliza kiuchumi USA akitaka kutoa Amri kwa majimbo.
Ameshambuliwa sana kuwa hana mamlaka hayo. Majimbo yatapanga utaratibu namna ya ku- reopen the economy! Wamemkumbusha kuwa yeye siyo KING, ni rais amechaguliwa!
My reflections: Ikanipeleka hapa kwetu ambapo mtu anavunja katiba/sheria anavyojisikia bila woga! Anatawala Bunge na Mahakama kama department za executive! johnthebaptist
Mzee BashiteNani huyo Mzee Shein?
Ni baada ya Trump kuleta ubabe kuwa: A President of the United States of America has TOTAL AUTHORITY! Magavana na yeye walipishana namna ya kufungua shughuliza kiuchumi USA akitaka kutoa Amri kwa majimbo.
Ameshambuliwa sana kuwa hana mamlaka hayo. Majimbo yatapanga utaratibu namna ya ku- reopen the economy! Wamemkumbusha kuwa yeye siyo KING, ni rais amechaguliwa!
My reflections: Ikanipeleka hapa kwetu ambapo mtu anavunja katiba/sheria anavyojisikia bila woga! Anatawala Bunge na Mahakama kama department za executive! johnthebaptist
Hata kwao hawana kivile sema watu siyo wa kuburuzwa. Wanajielewa na wanajiaminiTatizo hapa kwetu hatuna true democracy.
ki bongo bongo mtu anamzabua mwenzake na Gongo,halafu kesho anakua mkuu wa mhimili Fulani[emoji29]Ni baada ya Trump kuleta ubabe kuwa: A President of the United States of America has TOTAL AUTHORITY! Magavana na yeye walipishana namna ya kufungua shughuliza kiuchumi USA akitaka kutoa Amri kwa majimbo.
Ameshambuliwa sana kuwa hana mamlaka hayo. Majimbo yatapanga utaratibu namna ya ku- reopen the economy! Wamemkumbusha kuwa yeye siyo KING, ni rais amechaguliwa!
My reflections: Ikanipeleka hapa kwetu ambapo mtu anavunja katiba/sheria anavyojisikia bila woga! Anatawala Bunge na Mahakama kama department za executive! johnthebaptist
Jinsi alivyoshindwa kudhibiti COVID19 sijui kama atarejea tena madarakani.Trump ana hofu ya uchaguzi