Mayweather aendelea kuingiza pesa nyingi

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Mbabe wa ndondi duniani kwenye uzito wa kati kutoka nchini Marekani Floyd Mayweather ambaye alistaafu lakini ametangaza kurejea kwenye ndondi tena, ndio mwanamichezo anayelipwa pesa nyingi zaidi kwa msimu wa tano mfululizo.

Floyd hadi sasa ameongoza kwa kulipwa kiasi cha Trilioni mbili na bilioni mia na mbili na ushee (2,102,578,500,000)[emoji383][emoji383]Tsh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa ana mpunga wa kutosha ,kumiliki Private Jet /Yatch sio Mchezo!!
 


Na mcheza kamari maarufu duniani, 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…