Floyd Mayweather aka May money kwa mara nyingine amethibitisha hashindiki baada ya kumshinda mpinzani wake Berto kwa ushindi wa jumla baada ya waamuzi wote kumba 117-111, 118-110 na 120-108
Mpambano huo ulioonekana rahisi zaidi kwa Maywether kwakuwa aliweza kutawala round nyingi zaidi na Berto kuonekana amezidiwa kila idara
Mayweather alirusha jumla punch 196 na zilizotua ni 132 sawa na asilimia 67
Berto alirusha ngumi 177 na zilitua 39 tu sawa na asilimia 22
Wakosoaji wa May wamedai kwamba May amechagua weak opponent kuogopa kuharibu rekodi yake huku akiacha wapiganajia wazuri wa kiwango cha juu
Pia waliao wengi wamedai pambanano lilikua bored kama kawaida yake huku mahasimu wake wakimpiga vijembe kwenye mitandao yao ya kijamii
Pacquiao kwa upande wake wakati pambano likiendelea alipost picha katika instagram kuonyesha kile anachofanya anpokuwa bored
Oscar De La hiya yeye ali tweet
Kuonyesha bora May anaondoka na sasa boxing ya kweli inakuja
Akiongea baada ya pambano Mayweather amesema hili ni pambano lake la mwisho kwasababu amaekwisha pata mafanikio yote katika boxing na hakuna jipya tena la kufanya katika ulimwengu wa boxing