Watanzania tumezidi sana kudanganywa kuwa mtoto wa Matumla akimshinda mchina feki angepambana katika mapambano ya utangulizi kwenye pambano la Mayweather na Paquiao. Sijaona ubora wa huyo bondia mpaka apate hiyo nafasi kwenye pambano kubwa kama hilo. Nadhani wakati umefika sasa tuache kudanganyana. Nilitilia mashaka sana kitu hicho tangu mwanzo na sasa kinakuwa kweli.