Marumeso JF-Expert Member Joined Oct 3, 2009 Posts 1,410 Reaction score 1,325 Aug 20, 2017 #1 Wakuu mnaelezeaje huu mpambano. Kwangu naona huyu mhairishi hataweza kunyoosha mkono kuomba mpambano uishe labda atokee mtu wa kumsaidia kurusha taulo ulingoni kumwokoa. Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu mnaelezeaje huu mpambano. Kwangu naona huyu mhairishi hataweza kunyoosha mkono kuomba mpambano uishe labda atokee mtu wa kumsaidia kurusha taulo ulingoni kumwokoa. Sent using Jamii Forums mobile app
Hardbody JF-Expert Member Joined Jan 25, 2017 Posts 4,139 Reaction score 4,640 Aug 21, 2017 #2 MAYWEATHER Ni Bondia mzuri ila kwa haya mapambano yake ya kuelekea kustaafu naona kama anachagua wapinzani ambao hawawezi kumuharibia rekodi zake hivi. Anyway ngoja tusubirie watabe wa "masumbwi" waje watupe records za kila mmoja wapo. Sent using Jamii Forums mobile app
MAYWEATHER Ni Bondia mzuri ila kwa haya mapambano yake ya kuelekea kustaafu naona kama anachagua wapinzani ambao hawawezi kumuharibia rekodi zake hivi. Anyway ngoja tusubirie watabe wa "masumbwi" waje watupe records za kila mmoja wapo. Sent using Jamii Forums mobile app
Gamaha JF-Expert Member Joined Jul 17, 2008 Posts 3,915 Reaction score 5,038 Aug 21, 2017 #3 luck said: Wakuu mnaelezeaje huu mpambano. Kwangu naona huyu mhairishi hataweza kunyoosha mkono kuomba mpambano uishe labda atokee mtu wa kumsaidia kurusha taulo ulingoni kumwokoa. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuu hataomba po ila atachanginyikiwa sana, Mayweather hana ngumi nzito za kumuumiza jamaa ila zitakua zinaingia tu huku yeye akipiga upepo.
luck said: Wakuu mnaelezeaje huu mpambano. Kwangu naona huyu mhairishi hataweza kunyoosha mkono kuomba mpambano uishe labda atokee mtu wa kumsaidia kurusha taulo ulingoni kumwokoa. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuu hataomba po ila atachanginyikiwa sana, Mayweather hana ngumi nzito za kumuumiza jamaa ila zitakua zinaingia tu huku yeye akipiga upepo.
dokolombwike JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 373 Reaction score 616 Aug 21, 2017 #4 sio kumchukulia poa to that extent gregory, anything can happen,japokuwa mayweather ana asilimia kama 90 hivi kushinda
sio kumchukulia poa to that extent gregory, anything can happen,japokuwa mayweather ana asilimia kama 90 hivi kushinda
Last emperor JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 10,351 Reaction score 9,855 Aug 21, 2017 #5 Hakuna was kumpiga may weather.toka ana miaka mitatu anekua na gloves mikononi