Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Kwa Bongo itakuwa Jumapili tarehe 18 Sept. Kama atashinda Mayweather labda anaweza kuwa tayari kupambana na Pacquiao pambano ambalo mashabiki na wapenzi wa ndondi duniani wanalitaka na kulisubiri kwa hamu kuu.
<br />Anazitwanga leo j'mosi usiku bongo j'pili. Natabiri upset! Akishinda sasa lile pambano lake na Pacman litakuwa set. Jamaa amekubali kupima damu labda Mayweather aje na visingizio vingine
<br />
<br /
Ok kaka napata shida caz mpaka sasa sijapata mda kamili kuna wanaosema kua saa sita
Na hao clouds fm na wengine saa 8 wengine 10 na wengine 11 please mwenye mda kamili anipatie
9pm EST, itakuwa 4am time za nyumbani. Ninavyojua kutakuwa na pambano la utangulizi so give it like 2 hours or so after 9pm, that means pambano linaweza kuanza anytime after 10pm EST ambapo itakuwa 5am saa za huko nyumbani
<br />Anazitwanga leo j'mosi usiku bongo j'pili. Natabiri upset! Akishinda sasa lile pambano lake na Pacman litakuwa set. Jamaa amekubali kupima damu labda Mayweather aje na visingizio vingine
Naona mayweather kaingia na 50 cent ,kweli kapata mpambe lol.