Mazao Bora

Jesusfreak08

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2019
Posts
822
Reaction score
1,803
Mazao bora hutegemea sana kilimo bora
Unapoongelea kilimo bora huwezi kuacha kuongelea uandaaji wa shamba,upandaji wa shamba na utunzaji wa shamba bora ukitaka mazao yako yawe bora zingatia sana haya mambo, kwenye utunzaji wa shamba linda mazao yako kwa kutumia viuatilifu (pesticides) vilivyo halali kwa lugha nyingine vilivyo thibitishwa na serikali.

●linda shamba lako ●linda mazao ● linda chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…