shilla de sam
Member
- Jan 7, 2013
- 8
- 3
Habari Tanzania!
Leo naomba nilete mada inayohusu changamoto zinazojitokeza katika Mazao ya Kimkakati yanayolimwa katika mikoa mbalimbali kama vile: Korosho, Chai, Kahawa, Alizeti, Mawese, Karanga, Nazi, Ufuta, Mkonge n.k
Changamoto zinazokumba mazo haya ni za Kimasoko na Kitaasisi, sasa ninaomba kwa pamoja tuweze kujadili changamoto hizo na kutoa mapendekezo yake ili ziweze kuifikia Serikali yetu na kufanyiwa kazi.
Unachotakiwa kufanya ni kutaja zao la kimkakati na mkoa linapolimwa, changamoto zinazolikumba ziwe za kimakakati au kitaasisi, kiasha unatoa mapendekezo ya nini kifanyike!
KARIBUNI