TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 28,186 Reaction score 15,549 Jul 29, 2013 #1 wakuu wa jukwaa muhimu sana NImeulizwa swali na ndugu yangu mmoja Hivi ni mazao gani yanastawi msimu wa mvua za vuli kwenye mikoa ya kigoma, manyara, pwani na iringa??
wakuu wa jukwaa muhimu sana NImeulizwa swali na ndugu yangu mmoja Hivi ni mazao gani yanastawi msimu wa mvua za vuli kwenye mikoa ya kigoma, manyara, pwani na iringa??
Kahtan Ahmed JF-Expert Member Joined Aug 24, 2011 Posts 765 Reaction score 490 Jul 29, 2013 #2 Inategemea na maeneo ila ni mazao yasiyohitaji mvua nyingi
Bachelor ll JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 4,106 Reaction score 6,678 Nov 23, 2023 #3 Karoti Cucumber Kokoa