Mazao yanayolimwa Kilosa

udevanny

Member
Joined
May 24, 2017
Posts
23
Reaction score
9
Habar wapendwa.. Naomb kuuliza, ni mazao gani ya mbogamboga yanayofanya vizur maeneo ya kilosa
 
Nyanya
Nyanya chungu
Vitunguu --(sijui navyo ni mbogamboga au la, Ila kwa kuwa vinaingia kwenye kila mboga, itakuwa mbogamboga)
 
Thanks.. We ni mkazi wa huko?
Hapana, nilikuwa na shughuli iliyonifanya niingie na kutoka huko kwa zaidi ya miaka sita mfululizo, japo sijaenda toka 2016 Ila maeneo mengi ya huko nilifika.
 
Hapana, nilikuwa na shughuli iliyonifanya niingie na kutoka huko kwa zaidi ya miaka sita mfululizo, japo sijaenda toka 2016 Ila maeneo mengi ya huko nilifika.
Oky.. Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…