Teleskopu
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 702
- 767
Sijui kama ni maendeleo au ni kinyume chake.
Leo kuna mazao mengi yasiyo na mbegu.
Ukinunua mbegu ukazalisha mazao hayo, hicho unachovuna huwezi kukipanda kikazaa.
Ili upande tena, lazima ukanunue tena mbegu.
Haya yanatokana na na teknolojia ya kubadili vinasaba - genetically modified crops (GMO).
Kuna pia:
Je, teknolojia hizi ni chanya au ni hasi?
Mwisho wake ni nini kule tuendako?
Je, wanaofanya mambo haya wana pia mpango wa kuwa na binadamu GMO?
Leo kuna mazao mengi yasiyo na mbegu.
Ili upande tena, lazima ukanunue tena mbegu.
Haya yanatokana na na teknolojia ya kubadili vinasaba - genetically modified crops (GMO).
Kuna pia:
- Mapapai
- Viazi
- Maharage,
Je, teknolojia hizi ni chanya au ni hasi?
Mwisho wake ni nini kule tuendako?
Je, wanaofanya mambo haya wana pia mpango wa kuwa na binadamu GMO?