Usemacho ni kweli mkuu. Ingawaje swai lako la "Who cares?" japo ni rhetorical, lakini ni zuri sana pia. Nafikiri at the personal level, we should care. Natakiwa niamue mimi kutojiachia kabisa. Huwezi kukwepa kula GMO, lakini angalau basi usiache kuchanganya na original. Itakuwa poa kwa afyaNi chanya pia ni hasi.
Chanya kwa wazalishaji mbegu, wanatengeneza system ya mzunguko wa hela kwao.
Hasi kwamba sio asilia vinaweza kusababisha matatizo ya kiafya but who cares. Watu siku hizi wapo after money sana.
kweli mkuu, watu wanapenda fedhaNi chanya pia ni hasi.
Chanya kwa wazalishaji mbegu, wanatengeneza system ya mzunguko wa hela kwao.
Hasi kwamba sio asilia vinaweza kusababisha matatizo ya kiafya but who cares. Watu siku hizi wapo after money sana.
hiyo original unaipata wapi mkuu wanguUsemacho ni kweli mkuu. Ingawaje swai lako la "Who cares?" japo ni rhetorical, lakini ni zuri sana pia. Nafikiri at the personal level, we should care. Natakiwa niamue mimi kutojiachia kabisa. Huwezi kukwepa kula GMO, lakini angalau basi usiache kuchanganya na original. Itakuwa poa kwa afya
Mimi siungi mkono GMO maana naona ni hatari kwa uwepo wa binadamu.Sijui kama ni maendeleo au ni kinyume chake.
Leo kuna mazao mengi yasiyo na mbegu...
umesema vema mkuu. Serikali ingetakiwa kuwa na mkakati wa kuhakikisha mbegu za asili zinadumishwa. Huko tuendako watu wachache watashikilia chakula na lazima watatu control vibaya sana tusipojilinda katika hiliMimi siungi mkono GMO maana naona ni hatari kwa uwepo wa binadamu.
Halafu ikitokea cross pollunation hata yale ya asili yatatoa matunda ambayo huwezi kuyatumia kama mbegu
Kabisa he who controls food, controls the human raceumesema vema mkuu. Serikali ingetakiwa kuwa na mkakati wa kuhakikisha mbegu za asili zinadumishwa. Huko tuendako watu wachache watashikilia chakula na lazima watatu control vibaya sana tusipojilinda katika hili
Asante mkuu. Hayo ndiyo maono ya mbali na mbele ambayo kama nchi tunatakiwa kuyaona na kuyatendea kazi mkuu.Hii kitu ina matokeo hasi hasa Kwa nchi za dunia ya 3
Watatupa masharti tukikataa hawana haja ya economic sanctions..wanatunyima mbegu Tu ili tufe njaa[emoji16][emoji16]..hizi GMO ni tishio Kwa uchumi wa 3rd world hasa Africa
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app