Mazayuni wanakiri miujiza na maajabu wanayokumbana nayo Gaza

Muone mjomba wa mungu wako huyu, mwanajeshi anatowa ushuda bunge la mazayuni majegajega yanayomtokea:

Your browser is not able to display this video.
 
Inawezekana huyo Abuu Aida akawa jini kweli.
Maana uislamu na majini ni ndugu.
Dawa ya majini ni jina la Yesu Kristo yanapoteana Fasta,!
Jini ambalo linashindwa kuzuia vifo vingi vya migaidi ya kipalestina maan daily magaidi yanauwawa dozens za kutosha kabisaa.

Jini ambalo linashindwa kuwasaidia wapalestina vyakula mpaka wanapata utapiamlo.

Anyway ni kawaida hawa kobaaz kufuga majini ambayo sanasana yanaishia kuwapopobawa tu.
 
Hakuna muujiza wa nguvu zozote zaidi ya Allah, asikudanganye mtu.
1.Mbona allah hawasaidii wapalestina maana kipondo wamekipata na wanaendelea kukipata na wataendelea kukipata.
2.allah mbona kashindwa kuwapatia ardhi watu wake mpaka wanatangatanga wamebanzwa na wayahudi kwenye kijiardhi cha kilometa chache za mraba
3.allah gani ambaye anaufyata mbele ya Mungu Yawhe.
 
Angekuwa hawasaidii wangekuwepo mpaka leo hii?

Unafahamu nguvu wanayopambana nayo ya Nato nzima na mayahudi?

Hoyo miujiza yote unayoiona juu hapo ni wao wenyewe mazayuni wanakiri, au hutazami hizo video clips? Siyo yangu hayo.
 
Huyu mwanajeshi wa Kizayuni anasema kakimbia Ghaza mpaka leo anajikojolea kitandani mpaka leo. Anasema watu wanatumia RPG kama bastola za kaaida, kila akiwakumbuka anajiharia. Kawa cha pombe ili asawasahau Hamas lakini kila akikaa anawaona kina Abu Obaidah wanamtokea:


Your browser is not able to display this video.
 
Mwite kwa jina lolote unalopenda, haijalishi, ndiye yeye huyo. Unajuwa maana ya Yehwa? Maana yake ni yeye huyo. Sasa ajiogope mwenyewe? Kweli mmejuwa kujazwa ujinga.

Usome Uislam ni mwema sana, mambo madogo kama hayo hayawezi kukupa tabu tena.
 
Kwa jinsi walivyomuua kikatili mtanzania mwenzangu Joshua, Israel hakikisha unapiga hao mbwa mpaka wachakae na wajue kuwa dawa ya moto ni moto
wenzio wanafanya party huko baada ya kuepuka kifo GAZA wewe upo hapa nyenye nyenyee nyeee
 
 
Mwite kwa jina lolote unalopenda, haijalishi, ndiye yeye huyo. Unajuwa maana ya Yehwa? Maana yake ni yeye huyo. Sasa ajiogope mwenyewe? Kweli mmejuwa kujazwa ujinga.

Usome Uislam ni mwema sana, mambo madogo kama hayo hayawezi kukupa tabu tena.
Kama origional ipo yaani bible/ukristo kwa nini nisome copy/uislam/quran?
 
Kama origional ipo yaani bible/ukristo kwa nini nisome copy/uislam/quran?
Hapo ndipo unapojidanganya. Qur'an ni tofauti kabisa na biblia amabao ni mkusanyiko wa vitabu amabao hata yedsu havijuwi wala hajawahi kuiona biblia.

Qur'an ni kwa walimwengu wote, usidanganywe na mtu.

Tazama huyu Mkristo analaumu kwanini hajaambiwa yaliyomo kwenye Qur'an kabla, alikuwa anadanganywa tu, kaamuwaa kujisomea mwenyewe, anakutana na madini mpaka anashangaa:


Your browser is not able to display this video.


Aya aliyoisoma hapo, tafsiri yake ya Kiswahili ni hii hapa:

2:177. Sio wema kuwa mnaelekeza nyuso zenu upande wa mashariki na magharibi. Bali wema ni wa anaye muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho na Malaika na Kitabu na Manabii, na anawapa mali, kwa kupenda kwake, jamaa na mayatima na masikini na wasafiri, na waombao, na katika ugombozi, na akawa anashika Sala, na akatoa Zaka, na wanao timiza ahadi yao wanapo ahidi, na wanao vumilia katika shida na dhara na wakati wa vita; hao ndio walio sadikisha, na hao ndio wajilindao. 177
-
 
Biblia na Quran kipi kimeanza? Kitabu gani kimekopi kingine kwa baadhi ya maandiko? na kitabu gani kina hadithi hadithi?
 
Biblia na Quran kipi kimeanza? Kitabu gani kimekopi kingine?
Kuanza siyo kigezo kuwa ni Kitabu cha Mwenyezi Mungu.

Qur'an imekuja kuweka sawa uongo wa watu aliosingiziwa Mwenyezi Mungu kwenye biblia.

Umewahi kuisoma Qur'an? Uzuri Qur'an ipo orijino kwa lugha yake ya kwanza kabisa na imetafsiriwa kwa Kiswahili.
 
Israel safisha hao kenge wote kwanza wamemuua kikatili mtanzania mwenzetu.
 
Unanipiga kamba live mchana kweupee Faiza anyway merry christmas & happy new year
 
Unanipiga kamba live mchana kweupee Faiza anyway merry christmas & happy new year
 
Maajabu na miujiza inaendelea. Tazama muujiza wa Waislam huu, mtu mpaka anakwenda kutega bomu kwenye kifaru cha mazayuni haonekani (Ghost), unajuwa hicho kifaru kina macho (sensors) 360 za kuona mtu mpaka meter zaidi ya 100? Ni kifaru kinachosadikiwa kuwa ni namba 1 duniani kwa ubora.

Jionee Mashujaa hawa wanavyokishughulikia, bila sensor wala macho yao kuwaona, "The Ghosts" hawa ni hatari kuliko Hamas, ndiyo kikosi chao kipo kazini sasa hivi:

Your browser is not able to display this video.


Ma shaa Allah
 
FaizaFoxy ni mwanamke niliyekuwa na mpenda na kumuheshimu humu JF, tangu nione post zake nimekuwa chini sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…