Mazd cx5 na x trail new model nichukue ipi

Mazd cx5 na x trail new model nichukue ipi

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Wakuu narud Tena kwenu kutaka ushauri nyie ndio wataalamu wahizi mambo..nimebaki na machaguo mawili ya gari Mazda CX5 na xtrail new model ninunue ipi Kati ya hizi ambayo itakua economically na kwa vitu vyote
 
Yani tunachofanya hapa ni umbea maana tunawasema Mazda CX-5 na Nissan Xtrail wakati huohuo hawapo hapa ndani ya uzi huu sio jambo jema kabisa.

#Uzi bila picha ni umbea.

#Uzi bila picha ufutwe.

#Kataa uzi bila picha.
 
Nimetumia Nissan Extrail, tolea la zamani, la Kati na hili la 2015, binafsi naona nissan ziko poa, sina uzoefu na Mazda zaidi ya Mazda demio
 
Back
Top Bottom