malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Poa mkuu acha nivute iyo kituCx5 ni Kali sana zingatia maintenance
Ndio tayari yani?Poa mkuu acha nivute iyo kitu
Mkuu mpunga upo tayar Bado kujazia wa tra kodiNdio tayari yani?
Sasa mtu mmoja kasema tu mazda bila hata supporting documents na ushakubali kununua mazda?Mkuu mpunga upo tayar Bado kujazia wa tra kodi
Mazda je ni Petrol au diesel?!Wakuu narud Tena kwenu kutaka ushauri nyie ndio wataalamu wahizi mambo..nimebaki na machaguo mawili ya gari Mazda CX5 na xtrail new model ninunue ipi Kati ya hizi ambayo itakua economically na kwa vitu vyote
Nataka isiyokuwa na complication nyingMazda je ni Petrol au diesel?!
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 wahuni wamejaa sanaaaNdio tayari yani?
Wasanii wamejaa Sana sijui wanapata faida gani na maswali Yao ya kitotoSasa mtu mmoja kasema tu mazda bila hata supporting documents na ushakubali kununua mazda?
ukishavuta kama hutakua mtu wa safari kuna mfumo wa umeme unaitwa DPF huo utoe na kwenye mfumo wa colling wa gari kuna plastic itoe weka ya chuma hapo umemalizaPoa mkuu acha nivute iyo kitu
Wazee wa Mazda CX5 za Diesel sikilizeni hii clip.Poa mkuu acha nivute iyo kitu