Feld Marshal Tantawi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 655
- 1,069
Ukiona hivyo ujue hafahamu vizuriWatu wengi kuuliza maswali ni changamoto aiseeee,
Kwa hiyo Mazda CX 5 zote za petrol zina engines sawa, zina gearbox sawa na zina transfer case sawa?
Swali lako lipo Too general.
Kama mtu atakujibu atakujibu kulingana na gari yake. Na CX5 zote hazifanani.
Ya Petrol kuipata tu msala.Wakuu habari
Nataka jua ulaji wa mafuta wa hizo gari hasa za petrol mana naona wadau wanasifia sana Mazda hasa ulaji wa mafuta.
Nataka pata uhakika hasa kwa wanaomiliki ndinga za mazda hasa Model ya CX 5
Yeah, nyingi ama zote ni diesel.Ya Petrol kuipata tu msala.
Petrol kuna 2.0 na 2.5,Yeah, nyingi ama zote ni diesel.
Engine size ni 2.2L so fuel consumption is very economy.
Brand nyingi ni za Japan, ila CX-7 ni brand ya Singapore
Wakuu habari
Nataka jua ulaji wa mafuta wa hizo gari hasa za petrol mana naona wadau wanasifia sana Mazda hasa ulaji wa mafuta.
Nataka pata uhakika hasa kwa wanaomiliki ndinga za mazda hasa Model ya CX 5
Kwa fuel consumption Mazda CX5 petrol engine town trip inakupa 12km per litre na 15 to 16 per litre kwenye highway
Vilainishi engine oil ni SAE 0w 20 usiweke oil za ajabu ajabu.
Bei zake zimechangamka tofauti na za diesel wajuzi wa mambo wanasema za petrol ni nzuri zaidi kuliko diesel maana kwa mazingira yetu yenye mafuta na vilainishi vingi visivyoleweka ni bora kuwa na CX5 petrol, nyingi zinazopatikana sokoni kwetu ni hzi za 2.0 za 2.5 ni hzi latest second generation ambazo bila milioni 80 hadi 100 hujainunua kiukweli kwa bongo sijakutana nayo njiani
Ok kaka ndo utupe ufafanuz hizo za petrol na dizel zinatofautiana nn hasaWatu wengi kuuliza maswali ni changamoto aiseeee,
Kwa hiyo Mazda CX 5 zote za petrol zina engines sawa, zina gearbox sawa na zina transfer case sawa?
Swali lako lipo Too general.
Kama mtu atakujibu atakujibu kulingana na gari yake. Na CX5 zote hazifanani.
YahUkiona hivyo ujue hafahamu vizuri
Hivyo ikipendeza mkuu umsaidie
Ok ok vip kwa soko letu la bongo zinavumilia au ndo uwoga wetu tuuYeah, nyingi ama zote ni diesel.
Engine size ni 2.2L so fuel consumption is very economy.
Brand nyingi ni za Japan, ila CX-7 ni brand ya Singapore
Zipo napishana nazo ingawa sio kwa wingi ila zipo.Kwa fuel consumption Mazda CX5 petrol engine town trip inakupa 12km per litre na 15 to 16 per litre kwenye highway
Vilainishi engine oil ni SAE 0w 20 usiweke oil za ajabu ajabu.
Bei zake zimechangamka tofauti na za diesel wajuzi wa mambo wanasema za petrol ni nzuri zaidi kuliko diesel maana kwa mazingira yetu yenye mafuta na vilainishi vingi visivyoleweka ni bora kuwa na CX5 petrol, nyingi zinazopatikana sokoni kwetu ni hzi za 2.0 za 2.5 ni hzi latest second generation ambazo bila milioni 80 hadi 100 hujainunua kiukweli kwa bongo sijakutana nayo njiani
OkZipo napishana nazo ingawa sio kwa wingi ila zipo.