Mazda demio

Mazda demio

kinojet

Member
Joined
Jul 13, 2016
Posts
25
Reaction score
15
Wadau nimetokea kulipenda sana hili hali na sina uzoefu wowote wa magari ninachojua ni cc tu na aina za magari naomba mwenye ufahamu zaidi kuhusu mazda demio anishauri hasa technical issues nisije nikaumbuka mjini,
 

Attachments

  • BG371686_250432.JPG
    BG371686_250432.JPG
    31.5 KB · Views: 60
  • BG371686_831d00.JPG
    BG371686_831d00.JPG
    26.5 KB · Views: 60
  • BG371686_0e89c5.JPG
    BG371686_0e89c5.JPG
    28.3 KB · Views: 55
Haya Magari nayaona Sana sikuhizi nahisi hata spare zake zitakuwa zinapatikana..
Kama uko vizuri jilipue Tu ule mtazamo wa gari ni Toyota umepitwa na wakati

Sikuhizi barabaran kuna kila Aina ya Magari tofauti na Toyota pekee
 
mi naviitaga DEMO kama vilikua vya majaribio kabla ya version yenyewe
 
Kwa Tanzania hii nunua Toyota,Nissan,Suzuki,Subaru....hizi kampuni spea na mafundi wapo japo bei inatofautiana....Toyota is the cheapest one kwa upande wa spea...

Nje ya hapo utateseka sana...

Na ukitaka kwenda nje ya hpo kama una hela, nenda kwa mzungu vw, aud bmw,benz
 
Back
Top Bottom