Suala la mafuta hapo hakuna shida. Kuhusu maintenance jiandae tuu kutumia engine oil zile ambazo ni orijino haswaa. Na Muda wa service usipitilize sababu ushasema rottary , inamaana hapo ni rottary engine sio piston engine. Engine oil ndo itakuwa inakwenda sana.