Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi nilishaagiza zaidi ya mara moja na gari ilifika, kuna wakati gari niyo itaka iliwaiwa, jamaa hakika walinirudishia pesa zangu, japo gharama ya kutuma ilikuwa yangu. ni vizuri uwapigie simu na ujirizishe hiyo ni registered company gari ya ko utaipata ndani ya week 3 had 4.