Wakali wa hizi mambo Mazda wamezindua Electric SUV yao ya kwanza, inayoenda kwa Mazda EZ-60.
View attachment 3299436
Kwa muonekano wametupatia baadhi ya picha za nje, chuma ni kali. Ila picha za ndani kidogo wamezibania kwa sasa. Kwa size, vipimo vinafanana na Tesla Model Y.
View attachment 3299439Gari itakua na battery ya 80kWh yenye kutupa range ya 470 km, na motor ya 93 kW na battery inapokea fast charging kutoka 30-80% ndani ya dk 35.
View attachment 3299441
Hii itakua ni gari ya pili ya umeme kutoka Mazda, baada ya Mazda 6e aka Mazda EZ-6 ambayo ni sedan waliyoizindua mwaka jana.
View attachment 3299444
Kwa wapenzi wa SUV na EV hii ni moja ya option kali sana.
View attachment 3299453
Kwakua Mazda interiors zake hazitofautiani sana, tuta assume itakuja na interior ya Mazda 6e au zinazofanania (Yaani kama interior za Mazda 6 na CX5 za miaka sawa zinazofanana). Hii hapa chini ni interior ya 6e.
View attachment 3299445
Kuhusu bei, kwakua Mazda 6e inauzwa $20,000 basi SUV yake Mazda EZ-60 itategemea kuuzwa kati ya $30,000 hadi $35,000 ili ku-compete na bei za washindani.