Kenyan-Tanzanian JF-Expert Member Joined Nov 7, 2006 Posts 302 Reaction score 2 Nov 13, 2007 #1 Maneno tumesema wacha anga tupumuwe kiasi hizi picha zitusaidie maelezo. 1. Hebu mutazame PNU candidate kwenye kampeni http://www.youtube.com/watch?v=LhhY24Jvq3g Na ulinganishe na 2. ODM candidate kwenye kampeni http://www.youtube.com/watch?v=Q7ER4Dwr4cM Sijui ni mgani kati ya wawili hawa anyeonekana mtu mwenye kuheshimu wananchi wa kawaida na asiyewezakutumia mamlaka vibaya kuwaponda au kuwakandamiza adui wake. Kazi kwenu. Attachments KENYA%20FLAGS%2007WLDXC%20KL.jpg 34.2 KB · Views: 94 Metamorphosis.jpg 71.3 KB · Views: 92
Maneno tumesema wacha anga tupumuwe kiasi hizi picha zitusaidie maelezo. 1. Hebu mutazame PNU candidate kwenye kampeni http://www.youtube.com/watch?v=LhhY24Jvq3g Na ulinganishe na 2. ODM candidate kwenye kampeni http://www.youtube.com/watch?v=Q7ER4Dwr4cM Sijui ni mgani kati ya wawili hawa anyeonekana mtu mwenye kuheshimu wananchi wa kawaida na asiyewezakutumia mamlaka vibaya kuwaponda au kuwakandamiza adui wake. Kazi kwenu.