Mazingaombwe mtandaoni: Fwata maelekezo haya mafupi ni lazima utashangaa.

UZZIMMA

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
414
Reaction score
481
Ukisha like, utaona maandishi yanatoka kulia kwenda kushoto. Japo hujawahi kuona hali hio, ila usishangae, nitakufundisha PM ukitaka. (endapo una diploma ya IT, au mambo ya computer).
Sehemu ya hayo maandishi yataandika mji uliopo, kisha utafungua INBOX yako utakuta meseji yenye kodi. Andika hizo kodi katika ku-reply uzi huu. Baada ya kuandika kwa ku-reply hutoona hizo kodi, bali utaona maneno ya kiswahili ambayo hukuyaandika wewe, japo yameandikwa na account yako ya JF
N.B
Soma vizuri maelekezo, ili ushuhudie wataalamu wa kucheza na mitandao.
 
Unatafuta likes kiasi gani?? Tumia UZI wa kupeana likes.
 
nimeingia inbox nimekuta meseji yenye KODI YA NYUMBA tsh laki 2 na 10
 
Kuna uzi maalum wa kupeana like... Una comment chochote unazoa likes za kutosha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…