Nimefikiria mbali wakati nimetulia zangu kitandani,miaka hiyo kwenye 90 kulikuwa na vitu vingi vya burudani mashuleni
Mara anakuja jamaa anaendesha baiskeli juu ya paa na kamba,mara anabadili vitu kuwa chakula kama jojo na pipi au biskuit nk
Kulikuwa na watu vilevile wenye nguvu za ajabu wakijulikana kwa jina la power
Namkumbuka power musoma,manyama na mangwana.....
Unakuta mtu anavuta gari kwa kuuma kamba na mzigo unasogea...
Wapu siku hizi haya mambo