Rahimu Naly
New Member
- Jun 27, 2024
- 3
- 1
Tanzania ni nchi ambayo inahamasisha sana katika utunzaji wa mazingira. Maeneo ya miji mikubwa kama DAR ES SALAAM, ARUSHA na MWANZA wanapambana ipasavyo kuhakikisha mazingira yanakuwa safi, na hata viongozi wa nchi wanahimiza sana katika swala nzima la mazingira.
Licha ya kupambana kwa ukubwa sana katika utunzaji wa mazingira, katika vyanzo vya maji Bado ni machafu hasa katika Manispaa kwa mfano kielelezo Cha picha hapo chini kinaonesha jinsi mazingira ya vyanzo vya maji kuchafuliwa na kugeuzwa sehemu ya kutupia taka ngumu na laini.
Hapo ni baadhi tuu ya maeneo ya vyanzo vya maji palipo geuzwa kama shimo la kutupa taka taka. Kuna taka taka nyingi sana ambazo zinatupwa zikiwemo makopo ya vinywaji mifuko laini na nyinginezo, kama zinavyoonekana kwenye kielelezo Cha picha hapo Chini.
Hivyo basi viongozi wa Manispaa na maeneo mengine waliangalie Hilo swala Ili kufikia mwaka 2030 au miaka 15 ijayo vitusaidie hivi vyanzo vya maji katika matumizi mbali mbali kwa mfano kuwepo kwa maji safi na matumizi ya binadamu na wanyama. Nakusaidia pia mimea na misitu inayozunguka vyanzo vya maji kuwa salama na hari ya hewa kuwa salama kwa watumiaji.
Zifuatazo ni mbinu zinazotakiwa kutumika katika kulinda vyanzo vyetu vya maji:-
Ikibainika uchafuzi katika vyanzo vya maji unaendelea basi hatua za kisheria zipangwe na zifanye kazi yake ipasavyo.
Kwa ujumla tukifanya hivi, mazingira katika vyanzo vya maji yatakuwa safi na Rafiki kwa binadamu na wanyama.
Vile vile viongozi wa Manispaa waunde timu maalumu kwa ajili ya uangalizi mkali katika mazingira ya mito Ili ifike kipindi itusaidie sisi wenyewe pia kuiweka nchi yetu katika Ubora kwa kuipamba kwa rangi ya kijani.

( a) Kupunguza au kuzuia kabisa katika matumizi ya Rambo laini na mifuko.
(b) Makopo ya maji yahifadhiwe sehemu maalumu kwa ajili ya matumizi mengine au kuchomwa moto.
(c) Hii ndo kubwa na ni nzuri kutenga maeneo maalumu ya kutupa taka yaliyohalalishwa na serikali, na

Upvote
5