Mazingira ni vitu vyote vinavyotuzunguka venye uhai na visivyo na uhai kama nyumba,mimea,watu,wanyama,hewa nakadhalika.
Mazingira machafu yanaweza kuongeza usambaaji wa magonjwa ya mlipuko kwa sababu zifuatazo÷
1. Mavi, hiki ni chanzo kikuu cha usambaaji wa magonjwa kama kipindupindu,kuhara na homa za matumbo, pindi mtu anapojisaidia nje ni rahisi kwa wadudu kama nzi kubeba vijidudu(bacteria) kutoka kwenye kinyesi na kutua kwenye chakula,matunda na kupelekea magonjwa.
2. Utupaji wa taka hovyo,(taka ngumu na za vimiminika)pia huchangia usambaaji wa magonjwa ya mlipuko kwa sababu hua ni mazingira rafiki sana kwa mdudu kama nzi ambaye ni msambazaji mkubwa wa vijidudu ya magonjwa ya kuhara kutoka kwenye uchafu.
3. Maji yaliyotuama na vichaka vinavyozunguka makaz ya watu, hivi upelekea uzalishwaji mkubwa wa wadudu kama nzi na panya ambao pia huchangia usambazaji wa magonjwa kwa kugusa vyakula,maji na hata mikono yetu.
4. Maji ya kunywa yasiyo safi na salama, pia husababisha magonjwa ya kuhara na homa za matumbo hasa yanapotumika bila kutibiwa mfano kuchemshwa na kuchujwa,hasa kwa watumiaj wa maji ya mito ambayo hua na uchafu mwingi pia kutengeneza visima vya maji karibu na mashimo ya kuhifadhi maji machafu ya chooni husababisha pia maji kutokua salama.
NINI CHA KUFANYA KUPUNGUZA AU KUTOKOMEZA USAMBAAJI WA MAGONJWA KAMA HAYA?
1. Elimu kuhusu afya ya mazingira na usafi itolewe kupitia wataalamu na sapoti ya serikali na mashirika binafsi na kupewa kipaumbele hasa usafi wa mazingira,maji,chakula na usafi binafsi.
Mfano kwenye chakula izingatiwe kuanzia uvunaji,usafirishaji,hifadhi na hata utayarishaji kabla ya kutumika/kuliwa.
2. Matumizi sahihi ya vyoo na aina ya vyoo ambavyo ni vizuri kwa afya na venye gharama nafuu hata kwa watu wa kipato cha kati na cha chini kuweza kumudu.
3. Uhamasishaji wa kaya kwa kaya,(kila kijiji kiwe na kikundi maalumu cha uhamasishaji kikisaidiwa na serikali),mabango yenye meseji zenye kueleza hatari na umuhimu wa mazingira safi.
4. Wanachi kushirikishwa moja kwa moja kueleza changamoto walizo nazo kwenye usafi na afya ya mazingira wanayoishi na kuwe na sheria na sera zenye kuongoza na kutoa adhabu kwa wachafuzi wa mazingira.
Afya ya mazingira ni muhimu kwa maendeleo endelevu ya afya bora na mazingira kwa kizazi cha sasa na baade ili kuifanya dunia kua sehemu salama ya kuishi.

Upvote
1