Mazingira wezeshi ya biashara

sagamawe

Senior Member
Joined
Aug 3, 2012
Posts
148
Reaction score
36
Serikali imekuwa ikisema kuwa inaweka mazingira wezeshi ili watu waweze kufanya biashara huwa sielewi maana yake.a
Hivi karibuni rafiki yangu Mmoja ameingia mkataba wa kuingiza Herbal Products lakini kutuma pesa nje imekuwa tabu. Mana anatuma hela kwa Moneygram lakini utumaji huu ni lazima upate kibali kutoka BOT. Aliambiwa alete documents zote kuhakikisha kuwa ni biashara halali akaleta lakini bado anamabiwa hawezi kutuma zaidi ya lakini tano kwa mkupuo. Akiuliza anambiwa kwasababu ya Money laundering.
Hivi hii sheria ya Money Lundering ( fedha chafu) inafanya je kazi?
Naomba kuwasiliasha
 
kama ni mfanyabiashara na ana a/c bank yeyote kwanini asitume hela kwa TT (Telegraphic Tranfer) aka wire transfer ... very simple ... support document ni commercial invoices only
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…