Ndugu zangu, ningependa kupata taarifa juu ya mazingira ya kazi kwenye shirika hili la ACDIA/VOCA. Ninaelewa ni NGO ya wamarekani lakini sijui mazingira ya kazi kwa hawa jamaa. Hasa kwenye mishahara? Mafunzo kazini, usalama wa kazi nk. Naomba mwenye uzoefu unipe. Asanteni