Mazingira ya kazi acdia/voca-Tanzania

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Ndugu zangu, ningependa kupata taarifa juu ya mazingira ya kazi kwenye shirika hili la ACDIA/VOCA. Ninaelewa ni NGO ya wamarekani lakini sijui mazingira ya kazi kwa hawa jamaa. Hasa kwenye mishahara? Mafunzo kazini, usalama wa kazi nk. Naomba mwenye uzoefu unipe. Asanteni
 
Ndugu kimla samahani sana naona utakuwa msaada wangu kwani nimesikiliziya vya kutosha je voca walishatoa shortlist na kama walitoa interview ilifanyika lini? maana niliomba kazi kufuatiya matangazo yao ya gazeti la mwananchi la tar 30/5/2011 hapo kwenye kitengo cha mazingira location moro lakini mpaka leo sijaona shortlist naomba unisadie kwa hilo ubarikiwe sana
 

kaka tafadhari naomba utujuze,vipi washaita kwaajiri ya usail?maana niliomba post ya IT specialist
 
Kuhusu interview sina uhakika kama wameishaanza kuita. Naamini Bado. Kama kunamtu anataarifa atujuze jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…