Mazingira ya kazi,FAO_TZ,AWF,WWF hapa Tanzania

Mazingira ya kazi,FAO_TZ,AWF,WWF hapa Tanzania

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Jamani ningependa kujua mazingira ya kazi kwenye mashirika niliyoyataja hasa kwa posts za kati kama programme managers, coordinators or programme officers?

Ningependa kujua hasa juu ya Mishara ranges,
Usalama na amani kazini
Opportunity ya kukua kiutaalamu, nk?
 
Kwa mazingira ya kazi ya AWF ambao country office ya kwao ipo arusha sio mazuri kabisa kwa kweli...especially kwa kazi hizo ulizoulizia, hii ni kutokana na kwamba maamuzi mengi yanafanywa na HQ iliyopo Nairobi na hivyo watu wote huku hata Director kuwa pale kwa ajili ya kutekeleza maamuzi hayo japokuwa mengi hayaendani na hali halisi.
Kwa maslahi sio pabaya...ila kutokana na kuwa mazingira ya kazi kwa ujumla hutayafurahia hata maslahi yanakuwa hayana maana tena.
 
Jamani ningependa kujua mazingira ya kazi kwenye mashirika niliyoyataja hasa kwa posts za kati kama programme managers, coordinators or programme officers?

Ningependa kujua hasa juu ya Mishara ranges,
Usalama na amani kazini
Opportunity ya kukua kiutaalamu, nk?

Kuhusu usalama wa kazi kwa AWF ni sifuri kabisa..hakuna usalama kwa sababu hata mikataba ya wafanyakazi hawaiheshimu...ukitofautiana na wakubwa wa Nairobi au Washington Dc watakutafutia sababu hadi watavunja mkataba wako...kwa mwaka jana tuu wamevunja mikataba ya wafanyakazi kama wanne hvi...mmoja kawashtaki wana kesi mahakamani kwa sasa....opportunity ya kukua kitaaluma ipo kwa watafiti tuuu...
 
Asantein wote kwa kutupatia taarifa mbalimbali
 
Back
Top Bottom