Mazingira ya kazi swissaid tanzania

Mazingira ya kazi swissaid tanzania

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Wajameni, ningependa kujua mazingira ya kufanya kazi swissaid Tanzania yako vipi. Hasa kwa kuangalia Mambo yafuatayo;_
  • Nafasi yakukua (Proffessional development)
  • security ya kazi (job security)
  • Kuheshimiwa kwa mawazo
  • Mishahara kwa ngazi za Programme officer
Tafadhari naomba Maoni
 
Asante Caramadiirre kwa kunipa undani kidogo ngoja nisubiri na wengine nione wanasemaje?
 
Kunegotiate ni sawa kwa suala la salary lakini si rahisi kujua mazingira mengine ya kazi ndo maana nauliza ili kama kunamtu anafahamu basi atuhabarishe
 
Ni wanafiki vilevile.....watajifanya very friendly but you gotta watchout
 
Kama ni wa swiss wenyewe, tegemea kuwa na raha sana na opportunities za kusafiri na kujiendeleza utapewa, ila kama kuna mbongo au mkenya umeisha manake huwa wana nyodo sana pindi mtu mweusi mwenzao anapoajiriwa. I am talking from expirience, nilipata kazi kwenye shirika la misaada cha kushangaza nikawa napendwa na wazungu ishu inakuja kwenye wausi wenzangu, wanakuona kama mpinzani wao uliyekuja kuwapindua. Cha moto nilikiona. All the best, usiache kutupa feedback ukifanikiwa kupata hiyo kazi.
 
He! Kumbe hiyo post tayari kwenye hatua za mwisho kuweka mtu wakati wengine ndo tunataka ku.apply Ni vema nimejua maana deadline ilikua 04 july 2011.
 
Back
Top Bottom