Kama ni wa swiss wenyewe, tegemea kuwa na raha sana na opportunities za kusafiri na kujiendeleza utapewa, ila kama kuna mbongo au mkenya umeisha manake huwa wana nyodo sana pindi mtu mweusi mwenzao anapoajiriwa. I am talking from expirience, nilipata kazi kwenye shirika la misaada cha kushangaza nikawa napendwa na wazungu ishu inakuja kwenye wausi wenzangu, wanakuona kama mpinzani wao uliyekuja kuwapindua. Cha moto nilikiona. All the best, usiache kutupa feedback ukifanikiwa kupata hiyo kazi.