Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 276
- 473
msumbiji kakaNi nchi gani?
fiisiiiemuuuuuuuuuuuuuu oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, kwanza wamshukuru mama yao kwa kazi jema na wasiposhukuru tunawapoteza,Tunaopata tabu ni Sisi Wananchi, kwa hali hiii jamani tafadhali halizetu mbaya, Abiria tunakanyaga matope ili tuingie kwenye Daladala.
Hali ni hatari kwa mlipuko wa magonjwa, hii inatia kinyaa hata kupita eneo husika, na mvua hizi zinazoendelea tutarajie hali kuzidi kuwa mbaya.
Mamlaka za Dar es Salaam na Wilaya ya Kigamboni zinazohusika ziko wapi?
View attachment 2967065
Ndugulile anatucheleweshea maendeleo sana yani.. sijui kama anajua anachokifanya hapo kigamboniTunaopata tabu ni Sisi Wananchi, kwa hali hiii jamani tafadhali halizetu mbaya, Abiria tunakanyaga matope ili tuingie kwenye Daladala.