hauleibrahim
Senior Member
- May 17, 2024
- 183
- 125
Mazingira ni kitu Chochote kinacho mzunguka mwanadamu mfano mito milima na mabonde,bahari,misitu n vitu vingi sana vingi. Ila katika hayo mazingira pia yako mazingira ya kubuni n yako mazingira ya asili kabisa aliyo tupa mwenyezi Mazingira tukiyapenda yatatu tunza pia.
Kwenye mazingira yetu ya asili Kuna mbinu ambazo Ni endelevu ili kulinda mazingira yetu kiujumla kama ifuatavyo.
1.usafi: mazingira ili yadumu muda mrefu yanataka usafi wa mara Kwa mara ili kuyalinda na kuwa endelevu kuwepo.
2.teknolojia itakayo punguza uzalishaji kemikali: tuwe na teknolojia za kawaida au tujifunze teknolojia za kawaida za kuzalisha baadhi ya matilio ili tuweze kutunza mazingira.pia tunaweza kutumia teknolojia kubwa ila tuwape elimu hao wazalishaji ili kulinda mazingira endelevu kuwepo misitu ya asili udongo n.k
3 namna Bora ya kuchakata takataka:mazingira yetu ili yazidi kuwa Bora na mazuri ya kudumu ni vizuri kuwa na namna Bora ya uchakataji wa taka taka zetu tunazo zalisha sehemu na maeneo mbali mbali mathalani majumbani maji taka.
4:elimu Kwa jamii ya utunzaji wa mazingira na umuhimu wa mazingira:hpa ndo tunapo sema ili mazingira ya dumu muda mrefu ni vizuri kuwepo au watu wanao hatoa elimu ya mazingira mfano kuchumba mchanga mitoni waache labda wale wanao mwaga kemikali viwandani nao kuacha hii itasaidia kutunza mazingira.
5:tutunze mazingira:utunzaji mazingira utasaidia kutufanya tuwe na afya tele na nguvu tele za kuendelea kuishi huku tukiwa na mazingira mazuri. Pia ya kuvutia viumbe hai wote.
Hitimisho:tukitunza mazingira yatatutunza pia mazingira ndani uamebeba vitu vingi.

Upvote
0