mazingira yetu yanaruhusu kujifunza na kuwa wabunifu

mazingira yetu yanaruhusu kujifunza na kuwa wabunifu

je malengo ya millenia tutayafikia watanzania

  • tutayafika

    Votes: 0 0.0%
  • haiwezekani

    Votes: 1 100.0%
  • hatuna dira

    Votes: 0 0.0%
  • sijui

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    1
  • Poll closed .
Joined
Jul 16, 2012
Posts
7
Reaction score
0
ni kiangalia jamii yangu ya tanzania hii leo si oni kama kuna uwezekano wa kupata elimu inayo jitoshereza na kuweza kumpa kijana uwezo wa kupambanua mambo ktk ulimwengu huu wa utandawazi ikieleweka kwamba bado miaka miwili na sehemu kufikia malengo ya millenia!je tutafika
 
Back
Top Bottom