Mazishi ya baba yake Joyce Kiria, kaburi lazua mpasuko, makaburi mawili yachimbwa, ni kama sinema

mwanamke1

Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
41
Reaction score
14
Hii habari nimeiona katika website ya Joyce Kiria , Ni tukio la mwaka sijawahi hata kulifikiria, kwa maelezo zaidi na kujua mengi tembelea .....Talk Show ukaone yaliojiri huko msibani. Dah huyu dada sasa hivi kweli matatizo yamemuandama......
 
Pole kamanda na dada yangu joyce kilia yote ni mapito tui yatakwisha hata kamanda wetu mumeo hatatoka hakuna kesi pale
 
pole yake jamani
binadam tumeumbiwa matatizo hopefully yataisha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…