Mazishi ya clouds fm facebook page

Mazishi ya clouds fm facebook page

Manhunt

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
218
Reaction score
26
Katika pitapita yangu nimekutana na hii page facebook imeanzishwa alhamisi lakini hadi leo ina wafuasi 5000 hii ni kusema watu hawaitaki tena redio inayoonekana kukubalika na watu wengi au hujuma?page yenyewe ina lenga kuinua maslahi ya wasanii kwa kuelezea mabaya ya redio clouds inayooneesha kuteka mashabiki wa nchi nzima
 
Tupendane sasa ikifa itawasaidia nini Jamani .why so much hate uwiiiiii.ndio maana hatuendelei .peace peace and holiness .
 
watu siku hizi unyama unyama LIWALO NA LIWE...msije kuchinjana tu,yetu macho:A S clock:
 
Kufa Clouds Kufa kabisa.

kwa nini mnalazimisha watu kula upuuzi wenu?kwani ni lazima muendeshe kampeni hizi za kipuuzi mitandaoni?kwa nini watz tumejaaliwa roho za kishetani hivi?unataka kutuaminisha kuwa wasanii wote wanaoshiriki fiesta huwa wanashikiwa bastola na kulazimishwa kushiriki?who is jdee by the way?acheni majungu nafitina vijana mtaolewa!!!!chapeni kazi
 
na ikifa utawasikia aaah bora cloudh ilivyokuepo sio sasa
 
Mnapoteza muda! Tafuta njia nyingine lakini kusema kuwa clouds fm itakufa kwa cheap comments on facebooks SAHAU. Clouds inawezekana viongozi wake wamefanya vibaya au wamekosea watu lakini radio niya community though its owned by few individuals. So better not waste your time focus on your future.
 
Redio inakufa kama binadamu au kiumbe?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Tupendane sasa ikifa itawasaidia nini Jamani .why so much hate uwiiiiii.ndio maana hatuendelei .peace peace and holiness .

Huwajui Clouds FM ni radio ya kijinga sana. Ina mambo ambayo huwezu kuamini!!
 
Kama ni kweli aliyoyasema Jide anaconda, basi na wao Clouds hawana budi kuchukiwa na wananchi coz wana roho mbaya sana. Walikuwa a bifu na SUGU hawakupga hata wimbo wake wala kumtaja. Hadi radio clouds fm mbeya haikuwa inasikika zaid ya miaka miwili. Walipomaliza tofauti zao ndo imerudi clouds fm mbeya.
KUFA CLOUDS KUFA KABISA YAN
 
kwa nini mnalazimisha watu kula upuuzi wenu?kwani ni lazima muendeshe kampeni hizi za kipuuzi mitandaoni?kwa nini watz tumejaaliwa roho za kishetani hivi?unataka kutuaminisha kuwa wasanii wote wanaoshiriki fiesta huwa wanashikiwa bastola na kulazimishwa kushiriki?who is jdee by the way?acheni majungu nafitina vijana mtaolewa!!!!chapeni kazi

Umetujumuisha watanzania wote!! Pse tengua kauli yako ya kwamba watz tuna roho mbaya. Alafu kama wao wameweza kumtendea dada watu vile kwanini tuwasuport banaz??

Kuna haja ya kusubiri upande wa2 kukubali au kukunusha wakati wamekaa kimya wakiendelea kufanya vita vya kimya kimya. Labda kama watajirekebisha.
 
Mi ni msikilizaji sana wa vipindi vya clouds lakin kwa kitendo mlichomganyia jide..i really hate it..jaydee ni msanii makin sana na anayejielew yeye mwenyew na muziki anaoufanya,na ndio maana tangu alivyoanza mzik miak ya nyuma had sasa bado yuko vizur kimzik na kimafaniko.sijawaj kusikia popote dada wa watu kujisikia au kujinad kutokana na mafanikio aliyonayo..naumia sana kuona mwanaharakat huyu tena wa kike akikandamizwa ma kufanyiw unyanyasaj kama huu..pole sana dada ila endelea kupambana tupo nyuma yako kukulinda una influenc sana kweny jamii..ukiangalia tu fans wake kweny ukurasa wa facebook utaungana na mimi...i like the fights between you two..
 
Back
Top Bottom