Mazishi ya clouds fm facebook page

kipindi nilivyokua nasilikiza clouds ni michezo extra! lakini nilivyopata story ya Lady Jydee kufanyia mtima nyongo na hao jamaa nimetupilia mbali hata hako kakipindi kao. Kama sera yao ni kuwanyonya vijana wa kitanzania walioamua kujiajiri kwenye mziki, hawana faida kwa jamii bola wafie mbali kabla hawajaleta madhara zaidi.
 
Hawa jamaa Ndio washabikia ushoga ...
 

kwakwel clous naiyona inenda kiubabeubabe tuuu,na imekuwa watoto wadogo na watu wambea wambeaaa tuuu lkn kwa akina vinega like me, ni uwozooo mtupuuu:twitch:
 
Mkuu kwani Radio station wanapokua hewani, wanajuwa wanasikilizwa na nani. Au watu kiasi gani.
 
we nawe!! kisa cha kukoroga juice ya OMO!! USILAZIMISHE WATU KUWA NA MAWAZO KAMA YAKO! WE HATE THAT RADIO, PERIOD! udictator mpaka kwenye keyboard! Bujibuji mi miss u!
 
Last edited by a moderator:
najiuliza:..ikifa wangapi watafaidika,ajira ngapi zitapotea,ni wangapi wanafaidika na uwepo wa clouds?..(kuanzia wenye clouds mpaka mfanyakazi wa ngazi ya chini kabisa)..wangap wanawategemea hawa wanaofaidika na clouds?..tunalalamika hakuna ajira,na hapo tunataka kuua chanzo kimojawapo cha ajira,ili iweje?..tupate faida gani?

Mimi naona:kwa hili,ni bora kuziba ufa kuliko kujenga ukuta
 
Ije tu washenz wakubwa kitendo alichokifany rugu jan kimeniboa san yaan anasahau kuwa clouds bila sis hakuna kitu,aache kupig hizo bongo fleva mwaka mzima af aone yeye ni mungu mtu au lah..ss ndo tunaokuwek mjin so its better u behave na kuomba msamaha soon...
 
Hao jamaa Clouds hawawezi kufa na njaa! Fani yao kubwa ni uchezeshaji disco tafuta file la Joseph Kusaga mtajua alianzia wapi maisha!
 
clouds is a pugu dump RIP CLOUDS MEDIA
 
Hao jamaa Clouds hawawezi kufa na njaa! Fani yao kubwa ni uchezeshaji disco tafuta file la Joseph Kusaga mtajua alianzia wapi maisha!

Mia mkuu anadai alianza kupiga disco akiwa bado form 2 alipokua anasoma.
 
a very talented Musician who seek for her right and justice however many people including you and Ruge want her down
you by pretending that you dont know her
 
Hii michango inadhihirisha ni kiasi gani wadau wanafuatilia clouds na wasingependa kuona hii redio wanakosea, Ndio maana hata hawana habari na redio nyingine. Zikosee, zipatie hakuna mwenye habari zao. Na kwa Jide, Wasanii na mashabiki wote wanaolalamika (kwa hisia) kuwa clouds inawanyonya, Napenda kutoa mfano mmoja. Una ng'ombe wanne wa maziwa na wafanyakazi wawili. Kila mfanyakazi anasimamia ng'ombe wawili....Kila siku mfanyakazi #1 analeta ndoo iliyojaa maziwa na sado juu. Mfanyakazi #2 yeye akijitahidi sana analeta ndoo ikiwa robo tatu. Ila wapambe hawaishi kukushawishi umfukuze mafanyakazi #1 , Kwa tuhuma za kuondoka na lita mbili za maziwa kila siku huku familia yake ikinawiri kwa kunywa maziwa kila siku. Kwa upande mwingine unapata sifa zilizotukuka kuhusu mfanyakazi #2 na jinsi ambavyo familia yake isivyojua hata ladha ya maziwa. Kwangu Ruge na clouds ni huyu mfanyakazi #1 . Kwa clouds mchukue hizi kama changamoto zaidi ya chuki. PEOPLE REALLY LOVE YOU AND THEY CANT HELP IT....
 

Great thinker...... Salute
 
Ivi Msanii gani Alilazimishwa kufanya show na Clouds? Embu mleteni hata mmoja hapa aeleze kuwa mimi Walinilazimisha na tukakubaliana 2mln lkn wakanipa 8laki..... Hayo masanii yenu yenyewe yana njaa,Leo clouds wametangaza Wanaenda Dodoma kutakuwa na show ya Bure bdhi yao Wanaomba kutaka kuwemo hata wanapoambiwa nafasi zimesha jaa stil wanabembeleza then Kesho mnakuja kuwatetea humu Wananyonywa! Alafu iyo Redio ndo inawapa UGALI hao wasanii na wewe una sehemu yako unayopata Ugali wako We hawakunyonyi huko? Alafu Mbona hawa wanaokurupuka na kusema Wananyonywa bdaa ya muziki wao kushuka tuu,Wakiwa juu mbona wanakausha? Mi nataka Nimsikie Msanii km OMMY DIMPOZ,DIOMOND wakisema wana nyonywa sasa hivi co Ikifika muda wa kumpa Kijiti YOUNG KILLER ndio waseme wananyonywa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…