Mazishi ya karume

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Wadau, salam. Eti ni kweli Mwalimu Julius Kambarage Nyerere hakuudhuria mazishi ya Abeid Aman Karume mwaka 1972?
Ufafanuzi tafadhali.
 
Wadau, salam. Eti ni kweli Mwalimu Julius Kambarage Nyerere hakuudhuria mazishi ya Abeid Aman Karume mwaka 1972?
Ufafanuzi tafadhali.
Alihudhuria na picha zipo nyingi na nakumbuka ndipo tulipoona ulinzi mkalikaribu na Nyerere kwa maana ya kuonekana bunduku hadharani.
 
Anaonekana akiwa amevaa kaunda,barghashia na ameshikilia fimbo. Nyerere alihudhuria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…